Dec 26, 2012

DOWNLOAD VIDEO KUTOKA YOUTUBE!

Baadhi ya watu wamekuwa wakiniuliza juu ya kudownload video kutoka youtube. PROBLEM SOLVED, ni rahisi sana. Unachohitaji ni 'program chache tu.'
  1. Web browser yoyote. (mf; mozilla, maxthon, opera)
  2. Adobe Flash Player. Kama huna download hapa.
  3. Internet Downloading manager. Kama huna, ipo hapa. ( 4.01 MB)
Kinachofuata, install software zote hizo hapo juu. Halafu fungua web browser yako. Nenda www.youtube.com. Hapo search video unayoitaka halafu acha ianze kufunguka. Moja kwa moja utaona pop-up message kutoka Internet Downloading Manager "Download video form this page" upande wa kushoto chini. Bofya hapo na utaipata. ;)

Kwa watumiaji wa Mozilla, wanaweza kutumia plug-in ya Video Download Helper. download kwa link hii moja kwa moja inadownload na ku-install.
Kwa wanaotumia Maxthon 3  browser, wanaweza kudownload bila ya plug-in au add-on yoyote ile.Wakati video inaiendele, kuna option ya "Save" kwenye pop-up window yenye hiyo video.
Kuna njia nyingi za ku-download video utoka youtube, hizo chache hapo juu ni rahisi zaidi na zinazofahamika zaidi.

2 comments: