Jul 14, 2014

New Song: LULU by BEXY [Download Here]


Jul 10, 2014

SHINDANO LA WANAWAKE WAREMBO VIBONGE HILI HAPA...CHECK OUT THIS BEAUTIFUL LADIES.



Shindano la aina yake kwa kina dada.limeanza Tanzania.kwa wale wakina dada wanye makalio makubwa na huna pa kuyapeleka na kuishia kupigiwa mbinja na wanaume mtaani.Sasa ni wakati wako wa kupata  pesa kwa makalio makubwa ulio jaaliwa .
Hili shindano limeanza huko nigeria ambako lili fanyika katika hoteli maarufu sana nchin hapo.Na mshindi alizawadiwa  gari la kifahari.dada huyo alishinda kwa kuwa na makalio zidi wenzake karibu mara mbili ya makalio yao.

MOJA KWA MOJA CONCERT






Jumamosi tukutane hapa Ukumbi wa Via Via "Jumamosi Tarehe 12 Julai 2014 katika “Moja Kwa Moja Concert” Live on Stage “Watengwa, Vatoloco pamoja na KCK Supremacy” alongside MC’s wengine wa kutosha jumamosi hii kuanzia saa Tisa Mchana mpaka Saa Tano Usiku kwa Kiingilio cha elfu Tano Tu mlangoni (5'000/= TSH) , Msanue na yule Moja Kwa Moja itakuwa vaibuuu Ariff, Powered by VIA VIA, Alliance Francaise,Wanene Ent, KCK Supremacy,Watengwa Recs, Majembe Recs, Noiz Arachuga na VMG Africa .Wasiliana na Mratibu wa Tamasha kwa nambari +255 785 508 359.
powerd by noizmaker