Dec 24, 2012

PD-Proxy VPN Service. PATA MB100 BURE KILA SIKU KWENYE MODEM YAKO!

Je wewe ni mtumiaji wa modem? Umechoka kulipia vifurushi kila siku? Mkombozi huyu hapa. pata mb 100 kila siku kwa kutumia pd-proxy. Cha kufanya ni hiki;

  1. Nenda kwenye website hii hapa!
  2. Download program ya pd-proxy vpn.
  3. Halafu jisajili hapa kwa account ya free trial.
  4. Fungua program uliyodowload.
  5. Ikihitaji ku-install drivers iruhusu.
  6. Connect modem yako.
  7. Ingizia username na password ya pd-proxy kwenye program.
  8. Halafu connect.
  9. Tayari! Kazi kwako tu!
  10. Tembelea tovuti kama facebook, google, blogs na youtube kwa browser yoyote ile.
NB: Njia hii inafaa kwa watumiaji wa Zantel kwa Tanzania...
Kwa trial account, utapata mb 100 bure kila siku. Kwa zaidi, jisajili kwa premium account na ufanye malipo.
Onyo, usitumie torrents kwa njia hii, utafungiwa account kwa muda usiopungua saa moja.

0 comments:

Post a Comment