
Baadhi ya watu wamekuwa wakiniuliza juu ya kudownload video kutoka youtube. PROBLEM SOLVED, ni rahisi sana. Unachohitaji ni 'program chache tu.'
Web browser yoyote. (mf; mozilla, maxthon, opera)
Adobe Flash Player. Kama huna download hapa.
Internet Downloading manager. Kama huna, ipo hapa. ( 4.01 MB)
Kinachofuata, install software zote hizo hapo juu. Halafu fungua web browser yako. Nenda www.youtube.com. Hapo search video unayoitaka halafu acha...