
Jumamosi tukutane hapa Ukumbi wa Via Via "Jumamosi Tarehe 12 Julai 2014
katika “Moja Kwa Moja Concert” Live on Stage “Watengwa, Vatoloco pamoja
na KCK Supremacy” alongside MC’s wengine wa kutosha jumamosi hii kuanzia
saa Tisa Mchana mpaka Saa Tano Usiku kwa Kiingilio cha elfu Tano Tu
mlangoni (5'000/= TSH) , Msanue na yule Moja Kwa Moja itakuwa vaibuuu
Ariff, Powered by VIA VIA, Alliance Francaise,Wanene Ent, KCK
Supremacy,Watengwa Recs,...